Monday, December 3, 2012

HII NDO VIDEO YA WIMBO WA "NATAKA KULEWA" WA MSANII DIAMOND


Finally, hii ndio video kamili ya wimbo wa Diamond Platnumz'Nataka Kulewa', ambayo imetayarishwa na kusimamiwa na kampuni ya I-View Studios chini ya Raqey Mohamed. Itazame kisha toa comments zako kwa jinsi utakavyoipokea. 

No comments:

Post a Comment