
Mwanasiasa mkongwe nchini, Dkt. Christant Mzindakaya (kushoto) akizungumza na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano baina yake na Tume hiyo uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam ambapo aliwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya.

Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bw. George Masaju (kushoto) akibadilishana mawazo na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Butiku (kulia) na Prof. Mwesiga Baregu (katikati) mara baada ya kuwasilisha maoni yake kuhusu Katiba Mpya kwa Tume hiyo jana katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

(Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba)
No comments:
Post a Comment