Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon Ndesamburo, akiongea na Lucy Owenya (Viti Maalumu) Bungeni mjini Dodoma leo.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) akibadilishana mawazo na wabunge (katikati ) ni Mary Mwanjelwa (-Viti Maalumu) na James Lembeli (kulia) Bungeni leo.
Mbunge wa Mtwara Mjini, Hasnain Murji akiuliza swali Bungeni leo.
(Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
No comments:
Post a Comment