Friday, July 12, 2013

KAMERA YA GPL JIJINI DAR LEO

  Askari wa Usalama Barabarani ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akivusha wanafunzi wa Shule ya Msingi Minazimirefu, Ukonga, wilayani Ilala Jijini Dar leo asubuhi.
  Ni kiyama cha miti iliyopandwa kwa kuhamasishwa wananchi na Bwana Yusuf Makamba alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Miti hiyo iliyopo katika barabara ya New Bagamoyo kuanzia Mwenge hadi Morocco imekuwa ikikatwa kutokana na upanuzi wake ambao upo mbioni kuanza. Licha ya miti, nyumba na fensi za nyumba nyingi zimebomolewa.
(PICHA NA HARUNI SANCHAWA/GPL)

No comments:

Post a Comment