Friday, July 12, 2013

WAKAZI WA TABORA WACHANGAMKIA MCHEZO WA POOL

Mchezaji wa timu ya Texas Pool Club ya mkoa wa Tabora, Salum Kazuga akijitayalisha kupiga mpira wakati wa mazoezi yaliyofanyika mkoani hapo jana.

Mchezaji wa timu ya Texas Pool Club ya mkoa wa Tabora, Shabani Ramadhani akijiandaa kupiga mpira wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika mkoani hapo jana.
(PICHA NA SUPER D)

No comments:

Post a Comment