Monday, April 28, 2014

AJALI: PICHAZ..BASI LA RATCO LAPATA AJALI KIBAHA, PWANI

 
 Wananchi wakioka kwenye gari kupitia madirishani.


 
 Aha! kila mmoja akichomoka kujiokoa.
 
Basi la RATCO linalofanya safari zake Dar es Salaam kwenda Tanga limepata ajali eneo la Kibaha, Pwani jana jioni Aprili 27, 2014.

No comments:

Post a Comment