Monday, April 28, 2014

MGOMO WA WAFANYAKAZI WA STRABAG LEO

WAFANYAKAZI wa kampuni ya ujenzi wa barabara ya magari yaendayo kasi ‘STRABAG’ iliyopo maeneo ya Ubungo jijini Dar, leo asubuhi wameingia katika mgomo wakipinga uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa mishahara midogo wafanyakazi wake na kuondolewa posho zao za wiki na mwisho kabisa wakipinga suala la kutopewa ajira kwa vibarua waliofanya kazi kwa muda mrefu katika kampuni hiyo.

No comments:

Post a Comment