Wednesday, August 15, 2012

MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIZINDUA AWAMU YA TATU YA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII (TASAF III), UWANJA WA JAMHURI, DODOMA, 15 AGOSTI, 2012


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya wananchi wakati akizindua awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. Pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga wakati akikagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilekea kukagua mabanda ya maonesho wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012. pamoja naye ni Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uratibu na Mahusiano), Mhe Steven Wassira.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TASAF  Dr Servacius Likwelile  wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi kitabu cha uzinduzi wa awamu ya tatu ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAFAIII) katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma leo Agosti 15, 2012.
(PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment