Thursday, August 16, 2012

RASHID MATUMLA AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA MANENO OSWARD DAR LIVE


Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashid Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala. Matumla anajiandaa kupambana na Maneno Osward siku ya Iddi Mosi kwenye pambano litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live .

No comments:

Post a Comment