Monday, April 29, 2013

ARSENAL, MAN UNITED HAKUNA MBABE


Theo Walcott wa Arsenal akishangilia bao lake la dakika ya pili ya mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester United leo katika Uwanja wa Emirates, jijini London. Mpaka mwisho wa mchezo, Arsenal 1 na Manchester United 1.
Wayne Rooney (kulia) akimpongeza Robin van Persie (katikati) baada ya kuifungia Manchester United bao la kusawazisha katika dakika ya 44 ya mchezo dhidi ya Arsenal leo. Mchezo huo umepigwa katika Uwanja wa Emirates, jijini London.
(PICHA NA GRAHAM CHADWICK NA GETTY IMAGES)

No comments:

Post a Comment