
Mwanadashosti muuza nyago kwenye filamu na video za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ amejianika kimahaba zaidi mtandaoni akiwa na mchumba’ke ambaye ni staa wa filamu za Kibongo, Evans Komu, Ijumaa lina mzigo kamili.
“Duh! Hii sasa ni too much (imezidi) na haikubaliki kwenye jamii, waachwe wafanye wazungu lakini siyo sisi tuliostaraabika,” ilisomeka sehemu ya maoni mengi katika mitandao tofauti ya kijamii juu ya kitendo hicho kisichokubalika.
Ili kupata undani wa kuvuja kwa picha hizo au sababu za Masogange kujianika ovyo kimahaba mtandaoni, Ijumaa lilimwendea hewani mrembo huyo kupitia kilongalonga chake lakini hakupatikana.
No comments:
Post a Comment