Sunday, April 7, 2013

MLAKI NA RACHEL MFINANGA WAMEREMETA‏


Bw. Harusi Mlaki Carlos na mkewe Rachel Mfinanga wakiingia ukumbini kwa mbwembwe.
...Mambo yakaanza kunoga zaidi.
Wanaharusi wakikata keki.
...Mamaaa nilishe basi!
Bi. Harusi Rachael Mfinanga akiangalia wakati mumewe akimtambulisha mpwa wake.
Baadhi ya wageni walioudhuria katika hafla hiyo.
...Pozi la ukweli.
Baba na mama wakipokea keki kutoka kwa watoto wao waliofunga pingu za maisha.
Baba mzazi wa Bw. Harusi mzee Sindbard Mlaki, akiwaasa wanaye waliofunga pingu za maisha.
Nae baba mzazi wa Bi. Harusi akapata frusa ya kipekee ya kutoa neno kwa wawili hao.
Picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wenzake Bw. Harusi.
Waliomeremeta wakiondoka mara baada ya sherehe kuisha.

No comments:

Post a Comment